SHILINGI Ep 82
HTML-код
- Опубликовано: 28 мар 2025
- Subscribe kufuatilia tamthilia ya Shilingi kuanzia Mwanzo hadi Mwisho katika Channel hii.
Comment kutuambia unachofikiria.
Share na wenziyo wajue tuanze mwendo Episode zaidi ya moja kwa siku
Like kuonyesha Love
Mazuri mengi yanakuja Soon
Jamani awa vijana wa kijijini nawapenda sana juu wanasahia sana❤
Gutale njo wakwanza kunifurahisha jamani.
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Gutale uko fiti edelea kucheza kama ww from 🇰🇪
Ifike muda Mungu atujalie marafiki wa ukweli kama wake Michael coz siku hizi kupata real friends imekuwa mtihani plz may God tusaidie sana 🙏🏾❣️
Kweli kabisa upendo wakweli hakuna sasa hivi
Tunaweza kuwa marafiki?😊
Kabsa
Sure mzee bb
Nikweli kabisa❤❤❤❤❤
David anazid kumchanganya edna kwa mahaba duuuuh❤😂edna weweee nakupenda mpka bc😘😘
Devidi anajuwa mapenzi sana sikama Maiko 😂😂
Yani mm nisipomuona my favorite Butale sibambiki, nampenda Sana ❤
Me too
Anaitwa Gutale😂😂😂😂 nampenda sana
Kweli bhana ❤❤❤😂😂😊
Gutale umetisha yaani we acha tu,, 🤣😂🤣😂🤣 alafu mzeeee🤣🤣🤣🤣
Yni hawa kina ibra hta wanachokea humo njiani😂😂😂wanazunguka wao kijiji kuzima😂😂
Milambo mzee wa taikondoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kutalee Nakupenda bure❤😂😂😂
😅 na mm jaman kutale ananifurahishaga sana ❤❤❤❤
Hata mm ananifulahisha sana kwanza sauti yake navitu anajifanya vinanifanya nimupende alafu yaongea ukwer arafu mwenzake anamwite muzeh wakulopokwa namupenda sana 😂😂😂
Yaani Ibrah na Gutale hadi raha nawapendaje nyieeeee❤
Marafiki wazuri kwakweli ❤️❤️❤️❤️❤️
@@Farthun kabsaaa
Marafiki wa Michael ni marafiki wa ukweli sio wanafiki na wapenda Sana hongereni
😂😂😂 gutale ananipa raha sana 😂😂😂
Yaan huu mcmu umeanza vzr sana kaz nzr wadau pia bg up kwa Roma
😂😂😂😂membee jameni mwaniumisha mbavu😂zangu
Jamani enzi za kanumba ‘ Gutale Ali kuweko wapi
Naona alikuwa ananyonya kwa mama yake😂😂😂
Nyie nu marafiki wazuri Rutare na Ibra 😅❤❤❤❤ Ila Rutare Bhana 🤣😂 I remember 😂😂😂 Memeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🎉
😂😂😂😂
Gutale
Napenda mtiririko wa hii tamdhilia am from Nairobi
I feel smart when I see gutale and ibra sure are good friends of Michael.
Dj areni anachukua nafasi kubwa sana sehemu kuliko wanashilingi wote au ndo mwenye mvi
Dev na maiko watakutana ln jmn
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wow amazing like zangu hapo chini hata mbili 😊
DJ leo ungetupa tu angalau episode 5 so kwa utamu huu wa shilingi ya Leo😊 😇 maana jn wengi tuliporeka kurejea rejea episode 😎 ila kwa yote tunakushukuru unazidi kutufurahisha na kutunogisha kwenye shilingi 😊
Nawependa sana kabisa Épisode 1 Hadi 82
Yaani apa shilingi wametukamata watu hatukai jikoni mpaka waarabu watatushtukia chap chap tunakimbilia shilingi
😂😂😂😂 umenifanya nimecheka kwa sauti vyombo vimejaa kalon we acha tu
Nguo za pas zimejaa shilingi wallah inatuchanganya
😂😂😂,
Hongereni jamani mambo shilingi nawapenda sana nyote kwautamu wa shilingi
Kidogo afadhali🎉❤❤❤
Nawapenda sana hawa marafiki wawili wa michol
Marafiki wa dhati
We nzee nkunde ni mnafiki mkeo umemchapa vizuri kisha unajihemua hapo yarabi nijaaliye marafiki wema kama alio wapata maiko
Jamani butale eti memembe aa Jamani mungu azidi kuwatunza nyote
Yani mwanangu butale WE ninoma Pata tano👊
Kweli marafiki wa maiko hongela zao ziwafikie walipo
Hooii wadau vip niaje Aya mbili basi
Haaaaa hairini atoa machungu kwa mwenyekiti mtarajiwa jamani nawapenda sana cutale na ibra maana nye ni marafiki wa kweli
Kweli shilingi nihuitafute kwa bidii jmn .mwenye kiti mtarajiwa mzee kijana yamemkuta 😂😂😂niko tu najiafurahisha
Wakwanza leo nipen like zang 🎉🎉
😂😂😂😂😂 airene n Mzee mirambo waniacha hoi 😂😂😂😂
Ila irene na mboni nawasalimia mama zangu shikamooni😂😂😂😂
Kum beba Mirambo sio kazi ndogo mjue😂😂😂😂😂
Ni kweli kabisa
😂😂😂😂yaan hatari sasa cjuw ilikuwaje jinsnya kubebana😅😅😅 na mirambo
Kwanza sijui icho kipensi ya mirambo ni fashion ya wapi😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@khadijatwaha7684nimecheka Mzee ananipa burudani huyu😂😂😂
Wow Mashaallah nawapenda wote 😊😊❤❤
Gutale😂😂😂😂😂😂😂😂😂memembe🎉🎉🎉 mau mengi sana
Jamani wangapi mmeyaona mahaba ya mkude leo
Mzee mirambo kapatkana kw mbwembwe zote zile😂😂😂😂
Napenda sana kitale vituko vyake sasa Sina mbavu nainjoi sana nawapenda wote
Si kitale ni gutale
Nawapenda sanaa musidu kawize kudupa zinazo fat
😂😂😂😂😂gutal bhna kwan lazma ugeze kingeeee😅
Shangazi rudi uone mkazamwana
Hahahahahaahahaha gutale nye Nye Nye Nye, nmdunde Nini!!!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉❤🎉🎉🎉😂😂😂
Memembe😂😂😂😂gutale bhana
Hii tam mzee baba
Gutale amesema amembembembe(I remember)😂😂
Wanaume wanono kama huyu mzee ndo wanakua na uume kama doti alafu unapata wao ndo nambari moja kwa usherati
Gutale 😂😅❤❤❤
Mwenyekit kiboko kapiga mwenyew na anauguza mwenyew 😂🤣
Gitale rafiki mzuri mwema nampendraaaa❤❤❤❤❤
Gutale ni shemeji yako❤ nampenda sana
Kutalee nakupenda my brother❤❤❤❤
Ananikera wemaa.. mama ake hajawahi muombea leo anamuombea David
Gutale na ibrah nawapenda bure nyie 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Hakika shilingi ni tamu haichoshi kuitazma
Safi sn ❤❤❤❤
Gutale wewe msukuma safi nakukubali
Shukran sana kwamsimu wapili swali langu mbona aunt yake davd niliona alishikwa polis eti akajieleze kituo chapolis yalishia wapi😊
Mbn movi hainogi jmn
Shilingi ❤❤❤nafurahi saana
Helen anatoa adhabu ktk kumkanda bosi
Mafunzo mazuri sana kwa hii shilingi
Nedina Rudi yumbani usi tuletea matatizo kweli❤❤❤
OG nembo wa Mata from Kenya 😂👍
Mung awabarik sana❤❤❤💥
Supu ya maboga😂😂😂mkude umetish
Nyie nyie gutale atajua kiingereza😂😂
Ila mirambo 😂😂😂😂alipitia judo
😂😂😂😂nikacheza naoo
😂😂😂😂 mzee mirambo ulicheza taikondo 😂😂😂
Wamemkanda vilivyo😂😂😂😂
Kachezea dochi
Jaman shangaz Pamela tumekumis fanya urudi
Maiko msomi nakupenda tu bure dj lete mambo
Pamoja sana imbula
Jamani mwili wa mirambo’ anapo kandwa 😂😂😂😂
Waoooo mashaallah nawapend woteee❤️❤️❤️❤️
Nawapenda nyote endeleeni kutuburudisha ❤❤❤❤
Ireen jamani mbona kama ugomvi 😅😅
Mzee mirambo😂😂😂😂
Yajayo yanafrahisha David moto maiko moto patam hapo
Kwakweli naipenda
Mwambie supu ya pweza
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤maiko bwana
Ila kzi nzur sana
Wekeni biti muvi isinyaze sana
Gutare unakiti chako pepon ammememba😂
Bwana Mirambo karambwa
Dj mwendelezo pris
Wema muogope mungu ww
GUTALE 😂😂😂😂😂😂MEMEMBE😂😂😂
Thanks DJ keep up good job
Manesi wengine bana et KARIBU TENA?🤣🤣🤣🤣
urafiki nikama uyo 🎉🎉🎉
😂😂😂😂mzee anakukomoa ju ulimsaliti na rafiki yake
Mwendlz dj ❤❤❤❤
Asante Dj twasubiri episode 83😅
Mbona hamtumi muendelezo mashabiki zenu twachungulia wapi time shaghala😅
Usicheleweshe EP sod
hii.n.hatari.wema.yuajua.ni.devid.ndoo.anaemkatia.kumbewe.uslolijua.nI.sadana.usituated.wa.gizaak.mAmanda.yan😢😢😢 5:15
Wema kwenye moja na mbili😂😂😂😂😂